17 February 2015

MUUZA MISHIKIKA AKAMATWA NA NYAMA YA PAKA NA KISHA KUSULUBIWA NA WATEJA WAKE

Muuuza mishikaki maarufu Temeke stand ya mabasi anayejulikana kwa jina maarufu la Said mishikaki amekamatwa na nyama ya paka na kisha kusulubiwa na binadamu wenye hasira. Hivi mtu huruhusiwi kuwa na nyama ya paka

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname