30 October 2014

TAMKO LA UDSM KUHUSU TETESI ZA KUMTUNUKU DIAMOND PHD YA HESHIMA!



Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekanusha uvumi kuhusu kumtunuku msanii Diamond Platnumz shahada ya uzamivu (PhD) katika mahafali yake ya 44 yatakayofanyika Mlimani City, Novemba 8 jijini Dar es Salaam.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimekanusha ujumbe uliopo katika mitandao ya kijamii ambao unadai kuwa msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond atanukiwa Shahada ya Uzamivu ya heshima katika mahafali ya 44 yanayotarajiwa kufanyika Novemba 8.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname