watafiti wa mambo wanakwambia phd ambayo atatunukiwa
diamond siku si nyingi zijazo ni ujanja ujanja wa msanii huyo. chanzo
kimedai kuwa msanii huyo baada ya kusikia mwenzake wa kundi la weusi
aitwaye nicki wa pili ametangaza kusomea phd siku chache zijazo. na
kuonekana kuwa atakua ndiye msanii wa kwanza kuwa DR. kwa bongo. diamond ameamua kufanya magumashi ambayo kwa bongo hakuna kinachoshindikana ilmradi tu apewe sifa hiyo na kuweza kuweka historia bongo. chanzo kingine kimefunguka na kudai kuwa ni ujanja wa fiamond hili kujisafisha kwa watanzania na kumpoteza alikiba ambaye smeonekana kuwa tishio maisha ya kimziki ya diamond
No comments:
Post a Comment