30 October 2014

Kesi ya Miss Tanzania bado mbichi


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemruhusu Prashant Patel kubadilisha hati ya madai katika kesi aliyoifungua dhidi ya mshirika wake, Hashim Lundenga.

Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Frank Moshi, amemruhusu Patel kupitia wakili wake Benjamin Mwakagamba wa kampuni ya Uwakili ya BM, baada ya kuiomba mahakama hiyo kufanya hivyo ili aweze kuingiza gharama ambazo zilijitokeza baada ya kufanyika
kwa shindano la Miss Tanzania, Oktoba 11, 2014.

Hata hivyo Hakimu Moshi alimtaka Patel kufanya mabadiliko ya hati hiyo ya madai dhidi ya Lundenga na kuiwasilisha mahakamani hapo kabla ya jana Jumatano.BOFYA KUSOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname