28 October 2014

BETHIDEI YA AUNT YAHUDHURIWA NA MASTAA KIBAO!

Aunt Ezekiel akimlisha keki Shamsa Ford.Staa wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel akikata keki ya bethidei yake ndani ya Ukumbi uliyopo kwenye Mgahawa wa Rodizio Masaki jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.

Aunt Ezekiel akimlisha keki Wema Sepetu.
Shilole (kulia), akilishwa keki na Aunt Ezekiel.BOFYA KUONA PICHA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname