28 October 2014

AFANDE SELE AFUNGUKA KUHUSU SHINIKIZO LA KUOA TENA


Afande Sele akiwa na watoto wake Mkubwa anaitwa Tunda na mdogo SanaaAkizungumza na Bongo5, Afande amesema ameshauriwa mara nyingi suala la kuoa lakini tatizo linakuja jinsi ya kumpata yule mwenye mapenzi kweli.
Afande Sele amesema changamoto kubwa anayokumbana nayo kila akitembelewa na ndugu zake tangu afiwe na aliyekuwa mke wake, Mama Tunda ni kumtaka aoe.

“Familia yangu sasa hivi imekuwa inazungumzia suala hili, yaani shangazi zangu, baba zangu wamekuwa sana wananitembelea hapa nyumbani na suala la kuoa ndo limekuwa jambo lao kubwa la kunisisitiza. ‘Inakuwaje inabidi ufanye mpango uweze kutafuta mazingira mengine’ wakimaanisha kuoa. Lakini mimi nimefikiria na nimeona ni jambo la msingi lakini sasa bahati 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname