28 October 2014

DIAMOND AWADONDOKEA WATANZANIA SOMA HAPA


Bila shaka wengi wenu mu wazima, napenda niwakumbushe kuwa upigaji kura kwenye Tuzo za Channel_0 Africa bado unaendelea na ni kura zenu pekee ndiyo zinaweza nifanya nishinde ushimdi ambao utazidi kuleta sifa njema kwa Taifa letu,
kunipigia kura click hii link http://channelo-awards.dstv.com/AwardCategory

kisha fata maelekezo na kunipigia kura kwenye categoriy zote 4 kama zilivyoorodheshwa hapo juu lakini wawezanipigia kwa njia rahisi zaidi ya ya kupitia smart phone yako, download app inaitwa WE CHAT

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname