20 February 2014

KWELI WATU WANA VITUKO..HEBU CHEKI HAWA JAMAA WALICHO KIFANYA


Jamaaa yupo kiabiashara zaidi na new style ya surual "DOUBLE BELT"
picha A                                       picha B 
Sasa hapo kwenye picha A ukiangalia kwa kukurupuka unaweza ukazan ki2 kinghine kabisa ambacho hakikualengo kamili la picha hiyo.
hapo sasa utata tupu kwenya picha B
Mambo ya uswahilini sasa Jamaa kashikwa UGONI anatembezwa UCHI mtaa mzima sasa hapo ndio utajua mke wa m2 sumu jamaa kawa mdogo kama piriton vle

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname