20 February 2014

Jordan ft Belle 9 & Ben Pol - Wasi Wasi


Huu ni ujio mpya wa Jordan akiwa amejipanga kitofauti na kwa nguvu zaidi,ngoma inaitwa "Wasiwasi", hapa akiwa amewashirikisha Belle 9 na Ben Pol,ukiwa ni mkono wa producer Triss,nina mengi sana kwa mashabiki wangu mwaka huu,natanguliza samahni kwa ukimya,kuna mambo tu hayakua yamekaa sawa ila kwa sasa I'm back on track,twende pamoja tukayajenge

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname