15 November 2013

TAZAMA DIAMOND NA ALIVYOCHANGANYIKIWA NA DEMU WA DAVIDO HUKO LAGOS


Diamond akimchekea demu wa davido alie simama kwa chini,baada ya kumuona pande hizo za club.

Davido na demu wake ambaye alikuwa akimcheki  diamond plutinumz kwa mbaaali.
Diamond akiwa pande za  Niggeria akila bata na Davido katika  ziara yake fupi nchini humu hayo ndio baadi ya nayo jiri huko tulio weza wapa habari .

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname