15 November 2013

Uhusiano wa ajabu: Mwanamke aliyeolewa anaishi na mume na boyfriend nyumba moja, adai wote wamekubali


Tumezoea kuona au kusikia zaidi mwanaume kuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao wanajifahamu, lakini huko Uingereza mwanamke mmoja ameamua kuishi na wanaume wake wawili nyumba moja, mmoja ni mume wake wa ndoa na mwingine ni boyfriend wake. Maria Butzki na wapenzi wake Maria akiwa na mumewe Paul (kushoto) na boyfriend Pater (kulia) Mwanamke huyo Maria Butziki (33) mama wa watoto wawili anauita uamuzi huo kuwa ni ‘perfect solution’ ya tatizo lililokuwa linamtatiza la kushindwa kumuacha yeyote kati yao sababu anawapenda wote. “people might think it’s weird but I love both men and couldn’t choose between them”, alisema Maria katika mahojiano. Cha kushangaza zaidi ni kuwa wanaume wote wawili wamekubaliana na uamuzi huo na wanaishi kwa furaha kama familia moja pamoja na watoto wawili wa Maria. Maria aliwahi kuachana na mumewe Paul na kuanzisha uhusiano na Peter kabla hajagundua kuwa moyo wake hauwezi kumsahau mumewe na wakati huo huo hawezi kumuacha Peter. “When I left Paul there was a huge hall in my life. But the thought of never seeing Peter again was heart breaking. So living with both men is the only way”. Alisema Maria Maria Butzki na familia Maria akiwa na wapenzi wake pamoja na mabinti zake wawili kama familia moja Upande wa mumewe Paul yeye kamsifia mume mwenza “Peter is a great guy. When Maria first had the affair with him I was just heartbroken. But as I got to know him, I realised we have so much in common. We both adore fishing, and he’s like a surrogate dad to the kids”. Upande wa Peter naye amesema anaelewana vizuri na mume wa mpenzi wake na wala haoni wivu kushare naye mpenzi ““We all get on so well. It doesn’t feel as if I’m ­sharing Maria. There’s no ­jealousy …it feels as if we area team.” Pamoja na kuwa wana mahusiano ya kimapenzi lakini Maria amesema huwa hajichanganyi nao chumba kimoja, boyfriend hulala kwenye kochi wakati mume ana chumba chake na Maria hulala na mtoto wake mkubwa wa kike. “The three of us never share a bed. Although I have a sexual relationship with each man, that side is kept very private”. Alisema Maria. Najua unaweza kuwa unajiulizaja watatu hawa wanautaratibu upi katika swala la kushiriki tendo la ndoa, Maria amesema mmoja kati yao anapokuwa ametoka basi aliyebaki ndio anapata nafasi ya kufanya naye mapenzi lakini hawajawahi kuzungumza kwa pamoja kuhusu swala hilo aliloliita ‘binafsi’. ” The three of us never share a bed, If Paul is out, then Peter and I might make love, and vice-versa. But both men turn a blind eye and we never discuss it with one another.” Alisema Maria Watatu hao walianza kuishi pamoja mwaka jana (2012).
Source: Mirror

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname