DIAMOND AZUA BALAA INSTAGRAM. FANS WA WEMA SEPETU WAMCHAURKIA BAADA YA KUTANGAZA HATAMUOA
Mwanamuziki Diamond Platnumz aka Rais wa Wasafi anaetamba kwa wimbo wake No. 1 haishi drama na warembo wa mujini.
Baada
ya hivi karibui kuonekana na Wema na kuwapa fans wake na wa Wema
matumaini kwamba wamerudiana ghafla ameibuka kupitia Global Publishers
na kusema “Najua
wengi wanahisi mimi ninaweza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja kutokana na
dini yangu kuruhusu lakini jambo hilo mimi silifikirii hata kidogo kwa
kuwa kwenye maisha yangu nilishapanga nitaoa mke mmoja tu,” alisema
Diamond na kuendelea kusema “Watu wanasema mengi juu yangu na Wema,
wengi wao hawajui nafsi yangu inataka mwanamke yupi, ninachoweza kusema
na watu wakasikia na kunielewa basi wajue kwamba Penny ndiye mke wangu,
Wema asitegemee kuolewa na mimi.”Maneno
hayo yamewakera fans wa Wema aka #teamwema kupita kiasi wakiwemo
[dougiemasta12, matikibokoyao na wengine wengi] ambao wametiririkia
kupitia Instagram na kuonyesha hasira zao kwa kile wanacho dai kwamba
Diamond hana adabu na anadhalilisha wanawake especially Wema wao.
Yaani
hi #teamweam wako tayari na standby kumtetea Wema wao katika hali
yeyote ile. Na ni kwamba wamejitolea muhanga kumsupport Wema 100%.
Haya ndo mambo yanayoendelea huko Instagram jamani eee Diamond atajutajee kumkataa Madam Wema... hebu jisomeeee
Yaani comment ni nyingi sana unaweza ingia instagram ukajisomea. Wadau
wana hasira sana na Rais ama kweli Wema yuko juu na hawa ni 100% ride or
die loyal fans wa Wema.
No comments:
Post a Comment