09 October 2013

LINEX KUJA NA WIMBO MPYA UTAKAOITWA “UNATAKA NDOA AU UNATAKA HARUSI”


Kabla ya huu mwaka kuisha Linex amewahaidi mashabiki wake kutoa wimbo mpya ambao utaitwa “unataka ndoa au unataka harusi”. Kupitia interview aliyofanya na Anna Peter Linex alisema
“Mimi naandika sana, hivyo nina nyimbo nyingi kwahiyo sioni sababu ya

kukaa na nyimbo.” Unaweza sikila interview ya Linex na Anna Peter hapo chini

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname