09 October 2013

AJALI.: NDEGE YAANGUKA MUDA MFUPI TU BAADA YA KURUKA....


Ndege yaanguka muda mfupi tu baada ya kuruka kutoka 
 Murtala Mohammed Airport, Lagos, Nigeria. Kulikuwa na crew members 7 na abiria 20. 
Hakuna ajuae kilichosababisha ndege hiyo kuanguka.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname