09 September 2013

STAILI YA KUCHEZA YA GOLOLO ALIYOIANZISHA DIAMOND YAANZA KUSHIKA

Baada ya Diamond kutoa wimbo wake mpya wa Number one ambae kwa sasa ni gumzo, kila mahali kwenye sherehe ama harusi watu wanacheza staili aliyocheza diamond kwenye huo wimbo ambayo yeye mwenyewe anaiita Gololo ....Hii naitabiria itakuwa staili kubwa ya kucheza kama ilivyokuwa AZONTO ya Kutoka west Africa...Big Up chalii yanguuuu Diamond

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname