05 February 2016

HII ND0 JEURI YA PESA......TAZAMA MJENGO MPYA WA JOSE CHAMELEONE

Jose Chameleone anazidi kuimarisha himaya yake kwa kuongeza mjengo mpya.
12644664_932228003520917_2487740688408697764_n
Muimbaji huyo wa Valu Valu ameshare picha ya mjengo wake unaomalizika hivi karibuni kwenye akaunti yake ya Facebook.

“Don’t stay home waiting for Heavens to find you in your sitting room discussing other people achievements because Miracles came like that in Jesus’s time,” ameandika kwenye picha hiyo ambapo pia anaonekana mke wake, Daniella.

“We are a generation where nothing like stones turns to bread. Young people should wise up and work so hard so their sweat bears fruits now!!!
Forget the #NIKEAIRMAGS,” ameongeza.

Hiyo inakuwa miongoni mwa nyumba kibao anazomiliki staa huyo wa Uganda.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname