04 February 2016

BREAKING NEWZZZ......VIWANJA VYA KULA BATA VYA DAGAA DAGAA VINABOMOLEWA MDA HUU

BREAKING NEWZZZ......VIWANJA VYA KULA BATA VYA DAGAA DAGAA VINABOMOLEWA MDA HUU  KUTOKANA NA KUDAIWA KUPATA KIBALI TOKA MAHAKAMA ,HATA HIVYO JUMUIYA YA WAZAZI CC TAIFA IMEPINGA BOMOA BOMOA HIYO IKIDAI WAO NDO WAMILIKI HALALI WA KIWANJA HICHO NA WALIPEWA NA HAYATI MWALIMU NYERERE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname