05 February 2016

BREAKING NEWZZ.....Mramba na Yona kutumikia kifungo cha nje, kufanya usafi hospitali ya Palestina, SinzaMawaziri wa zamani wakati wa awamu ya Tatu, Basil Mramba (Waziri wa Fedha) na Daniel Yona (Nishati na Madini) sasa kutumikia kifungo cha nje hadi Nov. 5 kwa kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Palestina Iliyopo Sinza.

Ikumbukwe Julai 6, 2015 mawaziri hao walihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya milioni tano kila mmoja kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara.
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname