Rais
mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Pombe Magufuli anakabiliwa
na changamoto nane kubwa ikiwamo ya namna ya kutatua kwa amani mgogoro
wa urais wa Zanzibar ambao umeibuka, baada ya Tume ya Uchaguzi ya
Zanzibar (ZEC) kusitisha mchakato wa kumtangaza mshindi.
Wasomi
na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema mbali na changamoto hiyo
inayotishia kuwaingiza wakazi wa visiwa vya Pemba na Unguja katika
uhasama wa kisiasa na kijamii,
No comments:
Post a Comment