24 June 2015

WEMA SEPETU AELEZA NAMNA ATAKAVYOKUWA AKITOA HOJA BUNGENI AKISHAKUWA MBUNGE

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge wa viti maalumu Singida,amesema anafurahishwa na kitendo cha mashabiki wake kumwigiza sauti akiwa bungeni kwa kuwa wameonyesha kumkubali kabla hajafika ‘Mjengoni’. 
Alisema sauti hiyo inayomuigiza alitumiwa kupitia simu yake na haikumkwaza zaidi ya kufurahia kwamba watu wengi wanakubali awe bungeni.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname