Badala
ya kutia swaga dreads zake Bacary Sagna amezinyoa zote kuamua kuwa
kipara kabisa. Watu mbalimbali wanazungumzia muonekano mpya wa Sagna
lakini wanaozungumzia zaidi ni mashabiki wa Arsenal ambao wanamcheka.Wanamcheka sio kwa muonekano wake bali wanamcheka kwa kusema kwamba maisha ndani ya Manchester city yanamchanganya kiasi kwamba hadi kaamua kunyoa nywere zake.
Tangu aondoke Arsenal amejaribu sana kuonyesha uwezo wake ndani ya Etihad lakini imekua ni kazi kubwa kwake na kubakia akipasha joto benchi la Manchester city karibia msimu mzima. Sagna ana miaka 32 na amecheza dakika 790 tu kwenye msimu uliopita.
Hizi ni tweet za utani kuhusu Sanya alivyonyoa kutoka kwa mashabiki wa Arsenal




No comments:
Post a Comment