24 June 2015

MSIBA: MHESHIMIWA MBUNGE WA BUNGE LA TANZANIA AFARIKI DUNIA!

MBUNGE wa Jimbo la Geita, Donald Max amefariki dunia leo jioni akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila amethibitisha taarifa za kifo hicho na kuongeza kuwa taarifa zaidi zitatolewa kesho Juni 24, 2015

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname