24 June 2015

MWIZI ACHEZEA KICHAPO HEAVY JIJINI DAR!

Akiwa hoi taabani baada ya kutembezewa kichapo.Kibaka aliyejulikana kama Baba Hawa, mkazi wa Sinza Kamanyola jijini Dar akipokea kipigo kikali toka kwa wananchi wenye hasira baada ya kunaswa akiiba kinyonyeo cha kompyuta (flash) kwenye duka moja la vifaa vya ofisini (stationery) lililopo Bamaga, Mwenge.

Bahati ilioje! Kibaka mmoja aliyejulikana kama Baba Hawa, mkazi wa Sinza Kamanyola jijini Dar juzikati nusura auawe kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira baada ya kunaswa akiiba kinyonyeo cha kompyuta (flash) kwenye duka moja la vifaa vya ofisini (stationery) lililopo Bamaga, 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname