22 June 2015

KIVAZI ALICHO VAA MKE WA MBUNGE SUGU CHA SABABISHA APELEKWE MAHAKAMANI


Aliyekuwa mkewe na mbunge wa mbeya mjini Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally akiwa katika pozi.Mbunge wa Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ amemfikisha kortini aliyekuwa mkewe, Faiza Ally akitaka apewe mtoto wao, Shaa (2) ili amlee kwa vile mama yake huyo si mwadilifu.
Ijumaa iliyopita, saa 2:00 asubuhi, Faiza alipanda kwenye kizimba cha Mahakama ya Mwanzo, Manzese/ Sinza iliyopo Sinza-Makaburini jijini Dar kwa ajili ya kukabiliana na madai hayo.

Alieyekuwa mke wa mbunge wa mbeya mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" akiingia mahakamani.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname