23 June 2015

Diamond Platnumz atangaza kusitisha Collabo na Wanigeria.

Diamond ameshafanya collabo nyingi na Wanigeria, Diamond ametangaza rasmi kusitisha kufanya Collabo na Wanigeria.


Kcee na Diamond Platnumz

Akiongea na 255 ya XXL Diamond Platnuzm amesema:
"YES, nimefanya kazi nyingi na mastaa wengi na hiyo imeuweka muziki wa TZ mahali pazuri, kwa sasa collabo hizo zitasimama."

Pia ameongeza kuwa Collabo ya mwisho kuifanya kwa sasa ni yake na Kcee.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname