Diamond
Platnumz na Wema Sepetu ni mastaa ambao wanaongelewa sana na kila
kukicha wanatengeneza Headlines katika magazeti ya Tanzania.
Wema Sepetu.
Katika Kipindi cha TAKE ONE cha Zamaradi, Wema Sepetu kafunguka namna ambavyo alitamani kuzaa na Diamond Platnumz.
Wema Sepetu amesema:
"Nilikuwa
natamani siku moja kupata mtoto na Diamond(Naseeb) kwa sababu i told
you he was my man ambae nimetokea kumpenda tu hivyo, its done lakini
ukweli upo and am not fake and nilikuwa natamani sana that is what i
wanted, and tumehangaika wote, yeye anajua the hustle and nimehangaika
sio mahospitalini, nimehangaika sio kwa madawa haya ya mitishamba sijui
nikisikia Dokta nani, sijaenda kwa several doktas kwa sababu nimeshakata
tamaa people telling me am stilling too young kukata tamaa but kwa
sababu ya zile hustles nyingi nimechoka"
No comments:
Post a Comment