Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu (kushoto) akiwa ameongozana na Mama yake mzazi.(Picha n Bongo5)
DOSARI 3 za Lundenga na Sitti jana..1. Mmoja wa majaji Martin Kadinda anasema hakubaliani na Lundenga on MATOKEO sasa kama Lundenga hakuwa Jaji kwa nini Martin asilalalmikie Majaji wenziwe amlalamikie Lundenga ambaye hakuwa Jaji? Jawabu from mmoja wa Majaji ni kwamba Lundenga alitangaza matokeo yake mwenyewe.. Majaji waliamua Mshindi ni Jihan na Sitti alikuwa mshindi wa tatu.
..2. Lundenga hajawahi kutangaza Mshindi wa Miss Tanzania na anayetakiwa ni Chief Jaji wa siku hiyo sasa ilikuwaje Lundenga kutangaza kwa mara ya kwanza? SOMA ZAIDI HAPA>>>>
No comments:
Post a Comment