Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' , akitoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Leaders Club jijini Dar.
Madansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo wapo kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ.
Wakati huohuo polisi wakiendelea kumtafuta bosi wao Nasibu Abudul ' Diamond Platinumz kwa maelezo zaidi kutokana na kuvaa sare za Jeshi la SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment