Wakati
wasanii wakibongo kwa ujumla wao wakihangaika na shoo za Fiesta msimu
huu, Diamond ameendelea kujidhihilisha kwamba ni msaanii mkubwa sana
kiasi cha jamaa wa Clouds Entertainments kushidwa kumtumia vilivyo mwaka
huu kwenye show zao!
Ieleweke
kwamba kipindi hiki huwa ni cha neema kwa wasanii nyumbani ambao
wengine hufikia kuomba angalau tu wapate fursa japo tu ya kupanda
jukwaani kuonana na mashabiki.
Diamond kwa kipindi kirefu sasa amekuwa ni msanii wa Tanzania mwenye
show nyingi sana nje ya nchi kiasi kwamba imeshindikana kumbakisha hapa
nyumbani kushiriki show za hapa
No comments:
Post a Comment