28 October 2013

PICHA.. LADY GAGA SIO MZIMA KABISAAAA...!! AFANYA SHOW AKIWA MTUPU KAMA ALIVYOZALIWA HUKO LONDON, TAZAMA PICHA HAPA


Lady Gaga anasifika kwa vituko vya mara kwa mara vinavyomfanya awe controversial sana, and this time around ameamua kufanya onesho akiwa uchi wa mnyama!..ndio nimesema uchi wa mnyama katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.
gaga-1
Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea kuperform ghafla akaanza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye kulishusha vazi lote na kubaki mtupu.
gaga-6
gaga-4
gaga-3
gaga-5

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname