24 October 2014

Enzi za Sitti before Miss TZ 2014 (Graduation Party)Desemba 2013

Enzi za Sitti kabla ya kuwa Miss TZ 2014 (Graduation Party) Desemba 2013. Kwa mjibu wa Leseni na passport yake (copy attached) Sitti alizaliwa tarehe 31 Mei, 1989. Mpaka mwaka jana kwenye Graduation yake Sitti alikuwa na umri wa miaka 25. Ingia kwenye hii link kupata tangazo la Graduation Party yake https://www.facebook.com/victorymediapro/posts/10152028658454871 na pia humu utapata picha zake za graduation akiwa na wazazi, ndugu pamoja la marafiki zake http://www.vmpimages.com/Events/Sitti-Mtemvu-Graduation-Party/i-qPSHZM5.



Sitti akiwa na Mama na Baba yake kwenye Graduation yake

 
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname