Ray
C alisema amejikuta akipatwa na dhamira hiyo kutokana na msanii huyo,
licha ya yeye mwenyewe na mama yake kumpigia simu za kutaka amsamehe,
lakini anakana mbele za watu anapoulizwa, tena hadi redioni.
hid
na mama yake wamenipigia simu kutaka nimsamehe lakini ninashindwa kwa
sababu akiulizwa na watu anakataa hajanipiga, sasa kama hajanipiga
anaomba msamaha wa nini, nimekwenda kwao na polisi kama mara tano lakini
haonekani, inaonekana amejificha sehemu, mimi nasema awaonee haohao
wasiojua sheria
alisema msanii huyo ambaye hivi sasa anaendesha vita dhidi ya matumizi ya madawa ya kulevya.
Alipoulizwa
kuhusu kauli hiyo, Chid Benz mwenye tuzo tano za Kili, licha ya kukiri
kumpigia Ray C simu pamoja na mama yake, alikataa kupiga kwa ajili ya
kuomba msamaha kwa sababu hakumpiga msichana huyo mkongwe katika Bongo
Fleva
No comments:
Post a Comment