Waandaaji wa tuzo hizo wametangaza vipengele kumi vyenye majina matano katika kila kipengele baada ya kupokea mapendekezo kutoka katika bara zima la Afrika kupitia kamati yake maalum.
Utoaji wa tuzo hizi unatajwa kuwa tukio la pili kwa ukubwa linalohusu vijana kaika bara la Afrika.inaendelea hapa>>

No comments:
Post a Comment