08 March 2014

DAYNA NYANGE''CHIPUKIZI MSIOGOPE KUTONGOZWA''

Stori: Andrew Carlos MKALI wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao.


Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’.

“Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia. Vikwanzo ni vingi hususan kwa waimbaji wa kike lakini nawashangaa wale ambao wanakata tamaa ya kuendelea kuimba kisa kutongozwa. Wasiogope,” alisema Dayna ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Mimi na Wewe

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname