08 March 2014

WOLPER NA SKENDO YA KUTELEKEZA WAZAZI..MWENYEWE AFUNGUKA


Stori: Mayasa Mariwata
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizo za chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha:

“Wazazi wangu ni matajiri kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.”


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname