Gari lililokuwa likiendeshwa na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel
Wenje limepata ajali maeneo ya Magereza Bariadi mkoani Simiyu mchaba wa
leo baada ya kuacha njia na kugonga mtaro na kisha kuanguka. Ndani ya
gari hilo alikuwepo pia Mbunge wa VIti Maalumu (Chadema), Gimbi Masaba
na Mwandishi wa habati wa Tanzania Daima, Sitta Tuma ambao wamepata
michubuko kidogo.
No comments:
Post a Comment