08 March 2014

HUU NDIO UGONJWA UNAOMSUMBUA VINCENT KIGOSI RAY WA BONGO MOVIE


                       VINCENT Kigosi ‘Ray’ 


amedhihirisha kuwa anapenda sana kusikiliza muziki wa Hip Hop kuliko muziki mwingine.
Hivi karibuni, baada ya Ray kukiri kuwa anaupenda muziki huo, paparazi wetu alikaa naye kwa zaidi ya saa tano ambapo muda wote alisikiliza muziki huo hususan wimbo wa Gere wa Kundi la Weusi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname