14 February 2016

Mwanamke, kumchuna mumeo ni sawa na kujiibia mwenyeweNaongea hivi maana wanawake wengi wa leo tunashindwa kutofautisha mume na mtu mpita njia au kwa maneno mengine mtu usie na uhakika nae kwamba mtaishi wote kama mume na mke.

Unakuta mwanamke keshaolewa badala ya kumshauri mume wake wajenge future yao ya baadaye na watoto wao, eye ndo kwanza yuko busy anataka wigi la laki sita, anataka viatu vya laki 3, anataka Iphone, nguo za Woolworth, starehe kwa sana na kushughulikia vya tumbo tu anasahau wako kwa nyumba ya kupanga wala hana habari.

Simaanishi kwamba wanawake waume zenu wasiwapendezeshe but acheni kudemand vitu visivyo na tija badala ya kujenga future yenu. Mambo ya kucompete na mashost zako so nawe unataka uonekane umo unamgeuza mumeo buzi wakati ni mume wacha.

Mwanamke bana matumizi vizuri, weka mahesabu yako sawasawa, mshauri mumeo mfanye mambo ya maana achana na mawigi ya laki 6, kufanya showoff wakati hamna nyumba maana kesho watoto hawatalala kwenye hilo wigi la laki 6.

Umeshaolewa maana yake mko na huyo mumeo kujenga kesho yenu itayokuwa the best.
Wachaneni na vitu visivyo na maana pindi mkishaolewa, msaidie mumeo kujenga future yenu na sio kumchuna maana ni sawa na unajiibia mwenyewe

1 comment:

  1. Today the movie industry, aka film industry, is a multi level business world wide. That's right due to do rolex replica uk in technology movies are becoming more complex than ever. As a result, more and more movies are being made that leave a lasting impression on hublot replica uk. Although, most of us enjoy movies, the movie industry is made of fake rolex sale that includes the film production companies, film studios, cinematography, film production, screenwriting, pre-production, post production, film festivals, distribution replica watches and film personnel. Due to the hard work of hundredth of individual working together we get fabulous movies that make most of us movie fanatics. Therefore, today we are going to speak of the replica watches sale equipments for movie fanatics.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname