10 March 2014

CHEKI JINSI P.SQUARE WALIVYOWEKA FURNITURE ZA DHAHABU NYUMBANI KWAO


Wanandugu wawili ambao ni mapacha Peter Okoye na Paul Okoye, leo hii wameushangaza ulimwengu mara baada ya picha zao wakiwa kwenye sebule na dinning room iliyonakshiwa na dhahabu kwenye samani zake kuzagaa mitandaoni huku zikisindikizwa na maneno yenye kujiamini ndani yake.






Maneno kama:-‘Goldenworld #blessed.’, ‘#2kings…… Work hard,play harder.’ na ‘A king in my own world…. #Blessed.’ yalitumika kusindikiza picha hizo wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti.




Kama kweli mng’o unaoonekana kwenye vitu hivi vyote ni dhahabu, basi hakuna sababu kuna kila sababu ya kuwaita wafalme wa mziki Africa kutokana na thamani ya pesa waliyotumia

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname