10 December 2013

SOMA HAPA: SHAA AFUNGUKA MENGI KUHUSU YEYE NA MASTER JAY..!!

http://theclicktz.com/
Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu wao
wenyewe wawili ila sio mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa na maumivu yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini niachie bahati yangu, Nampenda sana Master"Mtangazaji: Huwa unapika ukiwa nyumbani, ilikumpagawisha mzee
Shaa: Nashukuru sana kwani Master anapenda sana kupika kwakweli  na mara nyingi huwa anapika yeye kuliko mimi, na Inshalah namshukuru sana Mwenyezi Mungu
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname