29 November 2013

MWANAMKE AKAMATWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUUZA " BIKRA " ZA WATOTO WAKE WA KIKE 12 KWA US DOLLA 100 KILA BIKRA MOJA..

 
A woman and mother of 14 in Colombia tried to make ends meet by selling their daughters virginity for a couple hundred dollars.
Margarita de Jesus Zapata Moreno, colombian, 45, was arrested this week together with a 51-year-old contractor who police believe impregnated one of the young daughters.
She broke down in tears when she stood in front of the cameras after being arrested in Bogota, the Colombian capital. The Bogota Metropolitan Police say Zapata sold the virginity of 12 daughters to much older men seeking to have sex with young virgins.
Authorities also say the suspect would begin selling her daughters to men as soon as the girls turned 12 years old. She charged anywhere between 300,000 and 400,000 Colombian Pesos ($160 to $212) for a virgin.
But Zapata strongly denies the accusation. Colombian authorities often show high-profile suspects to the media shortly after arresting them. When Zapata was standing in front of the cameras Wednesday, one of the reporters shouted a question to her: "Did you prostitute your daughters?" She answered: "No, my darling."SOMA ZAIDI

28 November 2013

EXCLUSIVE: SIRI 5 ZA STAA JACKLINE WOLPER ZAVUJA....UNAJUA NI NINI??..........SOMA HAPA!!

Na Sifael Paul
MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano (exclusive interview) na Amani kwa takriban saa mbili.
Wolper akifunguka ndani ya Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar.
Katika ‘intavyu’ hiyo iliyofanyika Jumatatu iliyopita kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar kuanzia saa 8:44 alasiri hadi saa 10:44 jioni, Wolper alifunguka vitu vingi.
KISA/MKASA

PETER MSIGWA ASEMA MAMBO MATATU KUMUHUSU ZITO KABWE, SOMA ZAIDI HAPA



Peter Msigwa ni mbunge wa Iringa mjini 92.9 kwa ticket ya Chadema ambapo kwa siku kadhaa amekua akiandika na kumkosoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chadema (Zitto Kabwe) baada ya hii ishu ya Zitto kuvuliwa vyeo vyake Chadema.

TASWIRA NZIMA YA UWANJA MPYA WA SOKA ULIOBOMOKA NA KUUA WATU HUKO BRAZIL, PICHA 8 HIZI HAPA




Ni watu wawili wamepoteza maisha baada ya kubomoka kwa sehemu ya uwanja mpya wa mpira wa miguu kwenye mji wa Sao Paulo, uwanja mbao ndio unatarajiwa kufungua mashindano ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.

Wawili waliopoteza maisha walikua miongoni mwa Wafanyakazi wanaojenga

ZITTO KABWE ASABABISHA VIJANA WA CHADEMA WAPIGANE NA KUCHANA BENDEA ZA CHAMA CHAO..........SOMA HAPA


Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kuwavua nafasi za uongozi vigogo wake watatu akiwamo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, umepokelewa vibaya na baadhi ya wafuasi wao ambao wameamua kupigana ngumi na  kuchana  bendera  za  chama  hicho.
  

Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, alivuliwa nyadhifa zake sambamba na aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu, Dk. Mkumbo Kitila na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba.
 

BODI YA BARAZA LA SANAA-TANZANIA WATANGAZA NEEMA KWA WASANII WA BONGOMOVIE....

Wajumbe wapya wa Bodi ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametaka kupewa miezi sita ili wasanii waanze kufaidi matunda yao


   Alex Msama

Akizungumza na gazeti la Mwananchi juzi, Alex Msama kwa niaba ya wajumbe wenzake wa bodi hiyo iliyozinduliwa hivi karibuni, alisema BASATA ina changamoto nyingi ikiwemo kukosa vyanzo vya kutosha vya mapato hivyo changamoto waliyonayo ni kuhakikisha inajiendesha yenyewe.

YALIYOMKUTA DIAMOND PLATINUMZ, YAMKUTA MSANII STL TOKA KENYA... UNAJUA NI NINI??...........SOMA HAPA

stl
Kile kilichomkuta msanii diamond hapa tz baada ya ngoma yake ku-leak kwenye media bila ya permission yake yeye mwenyewe,kitu hicho hicho kimemtokeamsanii
wa “haba haba” kutoka nchini Kenya ajulikanaye kama Stela Mwangi aka STL.
Bila ya idhini yake msanii huyo anayehiti  hapa east Africa na dunia kwa nyimbo kali kama “haba haba” ,yalimkuta pale ngoma yake iliyo-leak katika media ijulikanayo kama”Kudinyana” ngoma

"Yaliyotokea kwenye Msiba wa Sharo Milionea sitakati yajirudie kwangu siku Nikifa"....Kitale

 
Muigizaji na mwimbaji nchini Kitale yuko Tanga alipoenda kuhudhuria Dua ya kumuombea marehemu Sharo Milionea ikiwa ni mwaka mmoja tangu afariki dunia kwa ajali mbaya ya gari.
 

Walimu wachapana Makonde ofisini kwa kutuhumiana kula pesa za kisima cha shule huko Sengerema..!!

 
Afisa Elimu msingi wilaya ya  Sengerema Bw,Juma Mwajombe alipokuwa akimvua madaraka Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Luhama kwa kosa la kutotimiza majukumu yake.
 ****************

AFISA Elimu wa Shule za Msingi Sengerema Mkoani Mwanza, Bw Juma Mwajombe amemvua madaraka Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Luhama iliyoko kata ya Katwe kwa kushidwa kutekeleza majukumu yake.
 

HII NDO CV YA DR.KITILA MKUMBO...MFAHAMU ZAIDI KWA KUSOMA HAPA..AMEAPA KUMNG'OA MWIGULU NCHEMBA 2015



MFAHAMU DR.KITILA MKUMBO:




A Psychology doctorate degree holder of the University of Southampton, UK, Dr. Kitila Mkumbo is currently Lecturer and

KWANINI BAADHI YA WATU WANACHUKIA MAFANIKIO YA DIAMOND? ...TATIZO NI ‘BEI YA MKAA’....SOMA ZAIDI HAPA

Watu wengine kamwe hawataweza kukusifu au kukubali kwa unachokifanya mpaka pale usipokuwepo kabisa.. Ni ajabu kuwa watu wengine katu hawawezi kuona kile walichonacho; wakionacho pekee ni kile wasichonacho, ni kile wanachokosa. 

Wakati mwingine inahitaji roho ya paka kuendelea na nguvu kufanya kile unachofanya wakati watu wanaendelea kukudhihaki.

Zaidi ya muziki, kuna kitu gani kizuri kinachoitangaza Tanzania nje ya nchi kwa sasa? Tusaidiane kuuchambua ukweli huu unaomezeka kwa fundo la mate la kulazimisha kinywani.

MASKINI DADA HUYU.... ANGALIA JINSI KANSA YA MATITI ILIVYYOMHARIBU VIBAYA




Idiagbonya Osarere Debbie is a medical technician who is suffering from 4th grade Invasive Ductal Carcinoma - cancer of the breast and its spreading really really fast. One of the breasts is condenmed already and it has moved to the

ADAM JUMA AVUNJA UKIMYA AFUNGUKA NA KUMWAMBIA NISHER "ASITAFUTE USTAA KWA CHATU ALIYELALA".......SOMA HAPA ZAIDI

Muongozaji mkongwe wa video, Adam Juma  ameamua kujibu ujumbe wa kejeli alioandikiwa na muongozaji wa video aliyekuja juu nchini, Nisher.

Nisher alipost picha yenye maneno yanayoonekana kuwa dongo kwa Adam Juma ambaye anaaminika kuwa na mchango mkubwa katika kubadilisha muonekano wa video za muziki za Tanzania.

NORA: RAY, JOHARI WANA LAANA YANGU

BAADA ya hivi karibuni staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ kueleza mazito kuhusu Ray, Johari na Chuchu Hans, msanii mwenzake, Nuru Nassoro ‘Nora’ naye amefunguka kuwa laana ya walichomfanyia miaka ya nyuma itawatesa Ray na Johari mpaka kifo chao.
Nuru Nassoro ‘Nora’.
Akizungumza na mapaparazi wetu hivi karibuni, Nora alisema Ray na Johari walimfanyia ‘mambo mabaya’ yaliyosababisha kupotea kabisa kwenye sanaa ya filamu hadi alipoibuka upya hivi karibuni.

HUU NDIO UKWELI WA ISHU YA SNURA NA MRISHO NGASSA


Ni picha ambazo zimekua zikizungumziwa kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye mitandao mingine ya habari nchini Tanzania zikimwonyesha mchezaji wa Yanga Mrisho Ngassa akiwa mapenzini na mwimbaji Snura wa bongofleva.

JE? WAJUA KWAMBA, KUA NA HIPS AU MAKALIO MAKUBWA....NI ISHARA YA AFYA KITAALAM

Uchunguzi uliofanywa nchini Uingereza umeendelea kulipandisha chati umbo la kibantu, kwa kusema kwamba, kuwa na unene zaidi eneo la mapajani, katika makalio na katika mahips ni vizuri kiafya, na humzuia mtu asipate matatizo ya kiafya. 

TID KUFANYA COLLABO NA MWANADADA MREMBO NA MWENYE KUVUTIA" AZEB WENDWOSEN" KUTOKA ETHIOPIA


Khalid Mohamed aka TID (Top in Dar) ametangaza kufanya collabo na msanii mrembo wa Ethiopia aitwaye Azeb Wendwosen.“She is called Azeb an Ethiopian Artist who is duin a single with me currently…” TID mnyama ameandika kupitia Instagram na kuweka picha ya msanii huyo mrembo kwelikweli.



Baada ya kumtafuta kwa simu kuzungumiza swala hilo big boss huyo wa Top Band amesema atatoa taarifa kamili juu ya collabo hiyo soon.

Tazama picha na video za mrembo huyo kutoka Addis Ababa, Ethiopia

WOLPER:ALIKIBA NDO ALINIFUNZA MAPENZI

MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano (exclusive interview) na Amani kwa takriban saa mbili.

Katika ‘intavyu’ hiyo iliyofanyika Jumatatu iliyopita kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar kuanzia saa 8:44 alasiri hadi saa 10:44 jioni, Wolper alifunguka vitu vingi.

27 November 2013

TAZAMA PICHA NA VIDEO MCHEZAJI BALOTELI AKIJIFUNZA KUPIKA KWA MARA YA KWANZA KWENYE MAISHA YAKE.

It's often been said that Mario Balotelli's greatest strength is his natural talent.
His goal for AC Milan in the 3-0 win away to Celtic on Tuesday night again underlined his impressive ability.
It's also often said that he lacks maturity and to fulfill his undoubted potential he needs to grow up.



Talented: It turns out that AC Milan's Mario Balotelli has skills off of the football pitch, as well as on it
Talented: It turns out that AC Milan's Mario Balotelli has skills off of the football pitch, as well as on it

TAZAMA PICHA 40 JINSI USIKU WA TEMA MATE TUWACHAPE YA MADEE ILIVYOFUNIKA MBAYA PALE CLUB BILICANAS

WEMA sasa lia na Mkorogo...Ngozi yake ilivyo sasa inasikitisha...!!



Habari ni kuwa Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu anajuta kutumia mkorogo na hatimaye kupoteza urembo wake wa asili aliokuwa nao mwanzo kabla ya kuanza 
 
kujichubua. Chanzo kimoja makini ambacho kipo karibu na Wema na ambacho pia ni star wa filamu kimeitonya Swahiliworldplanet jana kuwa Wema anajuta

KATIKA MATUKIO YA AJABU DUNIANI HILI NI MOJAWAPO....! NYOKA WAMFANYIA MTU MASAJI KWA GHARAMA YA DOLA 47...! CHEKI PICHA ZA TUKIO HAPA


UNAPENDA kufanyiwa masaji na nyoka? Unaweza kukaza roho na usiogope kung’atwa? Kama ndio basi nenda nchini Indonesia utaipata kwa raha zako.

Masaji hiyo inapatikana Bali Heritage Reflexology and Spa huko Jakarta, Indonesia ambako wanaweza kukuondolea uchovu wako wa siku nzima kwa massage ya nguvu inayofanywa na nyoka mkubwa.

MAMBO YAMEANZA!! ZITTO KABWE AANZA KUMSHUGHULIKIA MMOJA BAADA YA MWINGINE, AMPANDISHA POLISI HENRY KILEWO

WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimwandikia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe barua ya kumtaka ajieleze dhidi ya tuhuma zinazomkabili, yeye ameamua kukimbilia polisi akimshitaki mmoja wa viongozi wenzake.

Habari za kuaminika zimedai kuwa Zitto ambaye hivi karibuni alivuliwa cheo chake cha

JE WAJUA? UBONGO UNAWEZA KUFANYIWA MAZOEZI ILI KUONGEZA UWEZO WA KUFANYA KAZI? SOMA HAPA TUKUJUZE ZAIDI

 



KAMA HAUKUJUA BASI JUA:
Hata UBONGO unaweza kufanyishwa mazoezi ili kuuongezea uwezo wa kufanya kazi na matunzo kama tunavyofanya mazoezi ya viungo kwa ajili ya

miili yetu. Hata hivyo mazoezi ya ubongo yapo tofauti kama vile:-


=>Michezo ya kompyuta (computer games) hususani games maalum zinakutaka ufikirie na kufanya maamuzi kwa haraka na games zinahitaji uwe na kumbukumbu ya haraka, na game zinakufanya upangilie mikakati ya kushinda kama MAZE GAME.
=>Michezo ya kawaida: Huzoesha ubongo wako kuwa makini kwa kuwa kuna kitu unachofanya kinachohitaji ubongo wako kuwa makini.

JUX, JACK PATRICK WAKANA KUTOKA KIMAPENZI..!!


 Kwa muda mrefu muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux na video vixen wa Tanzania, Jackie Cliff wameendelea kukanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini bado picha zinazowaonesha wakiwa pamoja, zimeendelea kuzalisha maswali mengi vichwani mwa watu wanaowafahamu.
Hivi karibuni, Jux alipost picha Instagram akiwa amemshikilia Jackie mkono wakitembea pamoja kama mtu na mpenzi wake na kuandika: We jus outchea livin our mfkn lives. Siku chache kabla ya picha hiyo, Jackie naye alipost picha akiwa na Jux na kuandika: My bff is better than yours..’

Miezi mitatu iliyopita , Jackie ambaye ameonekana kwenye video ya Linex ya wimbo wake Kimugina hivi karibuni, aliweka picha ya Jux na kuandika ujumbe mrefu wa kumtakia siku njema ya kuzaliwa akisema:

CHADEMA yakarabati nyumba ya bibi kizee Mwanza.

 
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kata ya Igoma, jijini Mwanza, imejitolea kukarabati nyumba ya bibi kizee, Magdalena Thomas (64), mkazi wa Soko la Chini Igoma, iliyokuwa imebomoka na kuhatarisha usalama wa maisha ya familia hiyo.

Msaada huo umekuja baada ya viongozi, wanachama na mashabiki wa CHADEMA kata hiyo ya Igoma, kutembelea na kujionea jinsi familia hiyo ya watu 12, inavyonyeshewa mvua na kukesha ikiwa imesimama.

Mtoto avunjwa kidole na mwalimu wake baada ya kuingia darasani na nywele ndefu huko Mbeya.


Wiki ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na watoto ikiwa imeanza kuadhimishwa duniani Novemba 25 mwaka huu bado vitendo hivyo vimezidi kushamiri Mkoani Mbeya ambapo mwanafunzi wa darasa la nne shule ya msingi Aiport Kata ya Iyela jijini Jacline Staniely [9] ameumizwa mkono wake wa kushoto.

Mrithi wa Zitto kupatikana Juni 2014


Uwezekano wa kumpata mrithi wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara iliyokuwa inashililiwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ambaye alivuliwa wadhifa huo mwishoni mwa wiki ni Juni 30 mwakani.

Pia uchaguzi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema ambao umekuwa chanzo cha mzozo ndani ya chama hicho, utafanyika Juni 29, mwakani.

SIRI AMBAZO WANAUME WANAJITAHIDI KUZIFICHA ILI WAPENZI WAO WASIZIJUE

Kwa kawaida kila binadamu anayop siri yake moyoni ambayo hapendi hata siku moja ifahamike. Lakini kwa upande wa wanaume haijalishi amekuwa na mahusiano na mwanamke kwa muda gani au amejuana na mwanamke kwa muda gani hiyo haiwezi kuwa ni kigezo cha kumuamini mpenzi wake kiasi cha kumweleza siri zake za moyoni. Kuna uwezekano zipo atakazoficha kwa muda lakini hapo baadaye akaamua kumweleza mwenzi wake, lakini kuna zile nyingine ambazo nitataja baadhi ambazo kamwe

SOMA KWA MAKINI MAMBO YANAYOCHANGIA KUPOTEZA HISIA ZA MAPENZI


 Jambo muhimu analopaswa kuzingatia kila aliye kwenye uhusiano ni kwamba, kama unataka kutosheka na penzi la mpenzi wako ni lazima uitosheleze kwanza akili yako. Unapaswa kuamini kuwa, uliyenaye ni bora na kwamba kama ziko kasoro, lililo la msingi ni kuzungumza kuondoa tatizo hilo, siyo zaidi.

Anachanganya mambo ndiyo sababu hatosheki
Ukweli ni kuwa wengi wa watu wanaodai hawatosheki katika mapenzi ni wale

MTOTO ARUDISHA PENZI LA MONALISA NA TYSON LILILOVURUGIKA MIAKA MINGI ILIYOPITA


Stori: Imelda Mtema
NDOA ya mastaa wa filamu Bongo, George Tyson na  Yvonney Chery ‘Monalisa’ iliyovunjika kitambo, ilirejewa na uhai wa saa kadhaa katika shughuli ya kumpongeza binti yao mpendwa Sonia baada ya kupata kipaimara.

Mwandishi wetu aliwashuhudia wawili hao wakionekana dhahiri kuweka tofauti zao pembeni na kujali shughuli ya binti yao iliyofanyika Jumapili iliyopita

TAZAMA Picha ya jinsi kivuko cha Dar – Bagamoyo kitakavyokua....

Nakumbuka Waziri wa ujenzi John Magufuli aliwahi kusema moja kati ya mbinu kubwa za kurahisisha miundombinu na kupunguza foleni kwenye jiji linaloongoza kwa kuwa na magari mengi Tanzania (Dar es salaam) ni kuanzisha kivuko ambacho kitakua na safar kati ya Dar na Bagamoyo.

KWELI SALAMA KAPINDA...CHEKI ANAKOINGIZA MKONO SASA...SIJUI ANACHIMBUA MADINI GANI?


KWELI SALAMA KAPINDA...CHEKI ANAKOINGIZA MKONO SASA...SIJUI ANACHIMBUA MADINI GANI?


BONGE MOJA LA SHOW..WASANII KIBAOOO..BEI CHEE NI NDANI YA CLUB BILICANAS JUMAPILI HII....


WEMA SEPETU AJUTA KUTUMIA MKOROGO, ATAMANI NGOZI YAKE YA AWALI.


Wema Sepetu
Habari ni kuwa Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu anajuta kutumia mkorogo na hatimaye kupoteza urembo wake wa asili aliokuwa nao mwanzo kabla ya kuanza

ALICHOKIANDIKA MH ZITTO KABWE KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK



Ni post ya facebook kwenye page ya Mbunge huyu wa Kigoma Kaskazini saa nne asubuhi.

Zitto Kabwe Nov 27 2013 1

ALICHOKIANDIKA MH ZITTO KABWE KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK



Ni post ya facebook kwenye page ya Mbunge huyu wa Kigoma Kaskazini saa nne asubuhi.

Zitto Kabwe Nov 27 2013 1

ALICHOKIANDIKA MH ZITTO KABWE KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK



Ni post ya facebook kwenye page ya Mbunge huyu wa Kigoma Kaskazini saa nne asubuhi.

Zitto Kabwe Nov 27 2013 1

KAULI YA NAIBU WAZIRI A NISHATI YAMPONZA! ATAKIWA KUOMBA RADHI WATANZANIA BAADA YA KUWAAMBIA ATAKAYESHIDWA KUMUDU GHARAMA MPYA ZA UMEME "ATUMIE KIBATARI"




KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, kuwaomba radhi Watanzania kutokana na kutoa kauli ya kukatisha tamaa.
 
Simbachawene,  juzi alitoa kauli ya serikali ya kupandisha bei ya umeme kama Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), lilivyoomba hivi karibuni kutaka kuongeza gharama za nishati hiyo kwa asilimia 68.
 

Comments system

Disqus Shortname