28 November 2013

YALIYOMKUTA DIAMOND PLATINUMZ, YAMKUTA MSANII STL TOKA KENYA... UNAJUA NI NINI??...........SOMA HAPA

stl
Kile kilichomkuta msanii diamond hapa tz baada ya ngoma yake ku-leak kwenye media bila ya permission yake yeye mwenyewe,kitu hicho hicho kimemtokeamsanii
wa “haba haba” kutoka nchini Kenya ajulikanaye kama Stela Mwangi aka STL.
Bila ya idhini yake msanii huyo anayehiti  hapa east Africa na dunia kwa nyimbo kali kama “haba haba” ,yalimkuta pale ngoma yake iliyo-leak katika media ijulikanayo kama”Kudinyana” ngoma
yenye mashairi makali na yasiyofaa kwa maadili  jamii especially jamii ya ki-africa,nakufanya fans wake wamjie juu kwa kutopenda alichoimba katika track hiyo.
FAMILY
Baada ya kushtukia tukio hilo “haba haba”singer huyo aliamua ku-apologise kwa fans wake kupitia mtandao wakijamii wa tweeter na kusema kwamba hikuwa lengo lake kwa nyimbo hiyo kuwa release kwa public na pia hakumaanisha kile alichokiimba kwenye track hiyo,hata hivyo baadhi ya mashabiki they don’t buy the apologise na kufanya aweze kupoteza image yake iliyojengwa kwa baadhi yamashabiki wake ingawa some fans waliamini nakumsamehe.
PB_001

-VIBE



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname