WALIOWEKA BANGO LA PICHA YA SANAMU YA YESU NA KUMCHORA TATTOO NCHINI MAREKANI KUKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI,
Licha
ya kwamba Hata watu ambao wameweka bango hilo kujitetea na kudai kwamba
wamechora na kuliweka kwa nia nzuri ili kuwahubiri watu waende kwake na
kusafishwa dhambi zao lakini mashirika ya kikristone nchini humo
wameapa kuchukua hatua za kisheria kwa wahusika wote waliidhalilisha
picha hiyo ya Yesu.
Bango hilo limeandikwa address ya tovuti ambayo ina video inayoonesha watu wanaenda kwa Yesu na wanasafishwa dhambi zao.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
No comments:
Post a Comment