18 October 2013

BEHIND THE SCENES: JEALOUSE FRIEND FILAMU YA KISWAHILI TOKA DENMARK, WAIGIZAJI NI TANTINE DANIEL, SELEMBE TOKO, MAGGIE SELUWA NA PATRICK BASHIZI.

Jealouse Friend ni filamu mpya ya kiswahili kutoka nchini Denamrk ikiwa imetengenezwa na Patrick Bashizi ambaye ni muongozaji wa filamu, muigizaji na producer. Waigizaji wakuu ni Tantine Daniel Musa, Maggie Seluwa, Selembe Toko na Bashizi mwenyewe. Filamu hiyo ipo youtube kwa muda wa
siku mbili sasa ikiwa tayari na views zaidi ya 93,000, Unaweza kuingalia filamu hiyo youtube kupitia link hii hapa Jealouse Friend . Picha chini ni utengenezaji wa filamu hiyo ulivyokuwa..........



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname