DUH...!! HIKI NI CHOO AMBACHO KINATUMIKA KAMA MGAHAWA NA WATU WANAJISAIDIA HAJA ZAO KWA PAMOJA (TOILET-RESTAURANT)
Hii ndiyo choo nchini California yenye sehemu ya
kupumzikia ukiwa unakula..choo hiki kilifunguliwa oktoba 11 na ni sehemu
inaovutia hata kwa usafi wake..Tazama picha nyingine hapa chini..
No comments:
Post a Comment