11 February 2013

PROMOSHENI YA MAHELA YA VODACOM TANZANIA. YAZIDI KUGAWA MAHELA KWA WASHINDI

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (kushoto)akionesha moja ya namba ya simu ya mshindi
wa Promosheni ya"MAHELA"aliejishindia kitita cha shilingi Milioni 5 katika promosheni hiyo inayoendelea kuchezeshwa na kampuni hiyo,katikati ni Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Abdallah Hemedy,anaeongea kwa simu ni  Mkuu wa kitengo cha huduma za ziada na Mtandao wa Vodacom Tanzania Bw.Charles Matondane.
.Mkuu wa kitengo cha huduma za ziada na Mtandao wa Vodacom Tanzania Bw.Charles Matondane akiongea kwenye simu na mmoja wa washindi aliejishindia shilingi Milioni 5 katika  Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu na Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Bw.Abdallah Hemedy.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.

Comments system

Disqus Shortname