ANGALIA PICHA......... MAJERUHI WA VURUGU ZILIZOTOKEA GEITA KATI YA WAISLAM NA WAKRISTU LEO
Majeruhi Abdalah Ibarihim akiwa amejeruhiwa vibaya baada ya kukatwa mapnga kichwani na watu wanaodaiwa kuwa ni Wakristo.

Huyu
naye ni majeruhi aliyetambuliwa kwa jina la Steven Andrea (34)
ambaye
anadaia kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni waislamu.