04 January 2016

SIRI YAFICHUKA WANANCHI KUGAWANA SHAMBA LA WAZIRI MSTAAFU FREDRICK SUMAYE, MAKONDA NA SUMAYE WAFUNGUKA

Wananchi waliokumbwa na ‘bomoabomoa’ katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam wamevamia shamba la waziri mkuu wa zamani, Frederick Sumaye lenye ukubwa wa hekari 33 lililopo katika eneo la Mji mpya, Mabwepande na kujigawia maeneo. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname