03 January 2016

RAIS MAGUFULI ATIKISWA,KIGOGO HUYU AIGOMEA SERIKALI,MAZITO YAELEZWA




 Baada ya nyumba yake kuwekewa alama ya kutakiwa kubomolewa muda wowote kuanzia Januari 6, Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God, Dk Getrude Rwakatare ameitaka Serikali itii uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuzuia ubomoaji.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname