04 January 2016

MACHANGUDOA WANENA MAZITO KISA MAGUFULI,FUNGUKA HAPA UONE WALICHOSEMA


Machangudoa wakiwa mawindoni. Richard Bukos na Issa Mnally
NJAA KALI! Wadada wanaojihusisha na biashara ya kuuza miili yao maarufu kama machangudoa, wameibuka na kupaza sauti kuwa kasi ya Rais John Magufuli ikiwa ni pamoja na kukomesha ufisadi kwa staili ya kutumbua majipu, imewanyoosha kwani wateja sasa wameanza kuadimika. 
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname